Si mara ya kwanza kuweka wimbo huu kama chaguo la GK, kutokana na ujumbe uliopo kwenye wimbo imebidi leo nirudie tena kukuwekea hasa kipindi hiki ambacho tumebakiza wiki moja kamili kuchagua viongozi wa nchi yetu. Hebu kwa pamoja tuendelee kuombea amani ya nchi yetu, umoja na upendo baina yetu ukazidi na kuzuia mianya yote ya adui kutaka kutumia uchaguzi huu
kusambaratisha amani yetu na yote ambayo Mungu ametujalia. Kwa pamoja tukishirikiana na mwimbaji huyu Tumaini hebu tumwambie Mungu atuokoe tusizame kwenye mtego wa mwovu na mawakala zake. Tukutakie jumapili njema
Dear readers, after reading the Content please ask for advice and to provide constructive feedback Please Write Relevant Comment with Polite Language.Your comments inspired me to continue blogging. Your opinion much more valuable to me. Thank you.